Yeah!
Let's go
The name be MansuLi
Sinza Starr, Mansour Ally
Rockin on beat, you know me
Navyopanga vina kama A-B-C
Kwenye game wanajuwa me ni monster
Sipindishi maneno wanajuwa me ni conscious
Battle me second round naku knock out
Don't try me wee trainee me ni kocha
Kwenye kila beat me napita
Naweza rap slow, sometime tongue twister
Na sijali ka' ni boom bap au hii trap,
Tunchy akini call tu me faster nafika
Na-drop bars kisha hasta la vista
Sipotezi time me nachapa nakipa
Cause kichwa kina vitu vingi
Na vyote navyowaza vya msingi
Tunchy na Sinza we made it
Baada ya mahesabu tunakwenda ku-spend
Na wala siyo mpaka weekend
We just don't care kama haters hawapendi
Viwanjani tuna take tu pictures
Utatukuta tupo live tu insta
Pisi kali kwenye kona zinaniita
(Sinza Starr) master kabisa
Nilipopita (pita)
Nilipofika (fika)
Ninachopika (pika)
Me nawalisha (lisha)
Nilipopita (pita)
Nilipofika (fika)
Ninachopika (pika)
Me nawalisha (lisha)
Yes sir
Pishi pishi, pishi pishi pishi pishi
Diko diko, diko diko diko diko
Pishi pishi, pishi pishi pishi pishi
Diko diko, diko diko diko diko
Started from the bottom now we are here (now we are here)
Huu mziki si wa kitoto wanaaminia (Aminia)
Hili dude anthem bwana (wuuh wuuh wuuh wuuh)
Check haters wanakwama (Ti ti ti ti)
Say my name, real name no gimmicks
We are not the same goddamnit
**** hold up, you test me?! Hold up
Natema kemikali kwenye verse, word up
Hoi nawaacha kama Popstar
Waki flow wana sound kama porn stars
Zao zinapwaya check yangu imejaa
Wakikaza vocals bado wanaishiwa bars
Wanashangaa hawanikuti kwenye top10
Na bado nipo nipo tu na-maintain
Ku-maintain siyo kazi rahisi
Ukiona bado tupo basi ujuwe ni ubishi
(yeaaah) wanajuwa ni mazishi
Nawa kill booth nawazikia Kibiti.
Sinza Starr
Nilipopita (pita)
Nilipofika (fika)
Ninachopika (pika)
Me nawalisha (lisha)
Nilipopita (pita)
Nilipofika (fika)
Ninachopika (pika)
Me nawalisha (lisha)
Pishi pishi, pishi pishi pishi pishi
Diko diko, diko diko diko diko
Pishi pishi, pishi pishi pishi pishi
Diko diko, diko diko diko diko